img

Watanzania wakumbushwa kuenzi amani

December 15, 2020

Na Imani Nathaniel, Dar es Salaam Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema chaguzi za hivi karibuni zimekuwa chanzo cha kugawa watu kwenye mataifa mbalimbali duniani huku Afrika ikiongoza. Warioba ameyasema hayo jana Desemba 14, kwenye mkutano wa Nafasi ya Viongozi wa dini katika kudumisha Amani na Maendeleo nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam. Amesema kwa siku,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *