img

Wajumbe wathibitisha ushindi wa Biden

December 15, 2020

WASHINGTON, MAREKANI Wajumbe wakiwa wamepiga kura siku ya jana Jumatatu, walimpa rasmi, Joe Biden zaidi ya kura 270 za uchaguzi zinazohitajika kuthibitisha ushindi wake wa uchaguzi. Pamoja na kura 55 za wajumbe kutoka California, kati ya za mwisho kupigwa Jumatatu, Biden ana kura 302 za uchaguzi, zaidi ya kiwango kinachohitajika kushinda urais. Biden amekuwapo kwenye,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *