img

Urusi yakanusha kuhusika na udukuzi wa wizara Marekani

December 15, 2020

MOSCOW, URUSI Ikulu ya Kremlin imesema leo Desemba 15, kuwa Urusi haikuhusika kabisa na udukuzi uliofanyika katika wizara za fedha na biashara nchini Marekani. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amepuuzilia mbali madai yote yaliyoihusisha Urusi na tukio hilo akisema Rais Vladimir Putin ndiye aliyeipendekezea Marekani kukubali na kumaliza makubaliano ya usalama wa kimtandao na Urusi.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *