img

Rais wa Iran asema Israel ndiyo iliyomuua mwanasayansi wake

December 15, 2020

TEHRAN, IRAN Rais wa Iran, Hassan Rouhani amesema kuwa Israel ndiyo iliyohusika na mauaji ya mwanasayansi aliyeanzisha mpango wa nyuklia wa jamhuri hiyo ya kiislamu katika miaka ya 2000. Rouhani anasema Israel ilimuua ili ianzishe vita katika siku za mwisho za utawala wa Rais Donald Trump. Matamshi haya ya rais huyo wa Iran ndiyo ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *