img

Mfanyabiashara Subash Patel afariki dunia

December 15, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye pia anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel amefariki Jana Desemba 14. Taarifa kutoka chanzo cha karibu zimeeleza kuwa, kifo hicho kimetokea mapema jana na taarifa zaidi zitatolewa baadaye. Mei, 2017 Patel alitajwa na Jarida la Forbes,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *