img

Majaliwa atuma salam kifo cha Subash

December 15, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametuma salaam za rambirambi kutokana na kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel kilichotokea leo jijini Dar es Salaam. “Hayati Shubash, ana mchango wake kwenye sekta ya viwanda, alikuwa rafiki wa wote, mcheshi, ametoa msaada kwa maskini na matajiri na hakuwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *