img

Madiwani Sikonge watakiwa kutatua kero za wananchi

December 15, 2020

Na Allan Vicent, Sikonge Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora wametakiwa kuhakikisha kero za wananchi zinatatuliwa katika kata zao na kusimamia vyema mikakati ya kimaendeleo inayowasilishwa katika vikao vya halmashauri hiyo. Rai hiyo imetolewa leo, Desemba 15, na Mwenyekiti Mpya wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Rashid Magope ambaye ni diwani wa kata,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *