img

Lindeni miundobinu ya maji

December 15, 2020

Na Samweli Mwanga, Maswa Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Aswege Kaminyoge amewataka wananchi waishio katika vijiji vya Isulilo na Ngongwa wilayani humo kutunza miundombinu ya maji na kutoa ushirikiano kwa viongozi wa serikali pale wanapowabaini wananchi wachache wanaohujumu miundombinu hiyo. Hayo yameelezwa jana na Mkuu huyo wa wilaya wakati akiongea na viongozi wa vijiji hivyo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *