img

Wananchi watakiwa kushiriki mapambano ya Rushwa

December 14, 2020

Na Samwel Mwanga, Maswa Wananchi wameaswa kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa Taifa kwa kutoa taarifa za vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia na siyo kuiachia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) katika mapambano hayo. Hayo yameelezwa na Kamanda wa Takukuru wilaya ya Maswa mkoani,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *