img

Wahitimu NIT watakiwa kugeuza changamoto kuwa fursa

December 14, 2020

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO), Profesa Sylivester Mpanduji amewataka wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kugeuza changamoto zilizopo kwenye jamii na kuwa fursa ya kujiajiri badala ya kufikiria kuajiriwa. Profesa Mpanduji alikuwa akizungumza katika kongamano la saba la wanajumuiya wa NIT ambapo mada kuu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *