img

VIDEO: Madiwani Babati Vijijini waomba kuongezewa posho

December 14, 2020

Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Babati wameiomba Serikali iwaongezee posho wanazolipwa kwa madai kuwa haziendani na mazingira ya kazi yao huku Mkuu wa mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti akiwaonya madiwani hao na kuwataka kutimiza ahadi walizowaahidi wananchi wakati wanaomba kura. 

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…..USISAHAU KUSUBSCRIBE 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *