img

“Tumieni mamlaka kupata taarifa sahihi”-Tantrade

December 14, 2020

Na Safina Sarwatt, Rombo Watanzania wanaofanya biashara mipakani wametakiwa kuzitumia Mamlaka zilizopo kupata taarifa sahihi za biashara wanazozifanya ili kuondoa vikwazo vinavyojitokeza kwenye mipaka hiyo. Akizungumza leo Jumatatu, Desemba 14, katika Kituo cha Pamoja cha Jumuiya ya Afrika Mashariki cha Holili, Meneja Masoko wa ndani kutoka Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Getrude Ngweshemi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *