img

TAKUKURU waokoa kiwanja cha CCM Kiteto

December 14, 2020

Na Mohamed Hamad, Kiteto Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) wilayani Kiteto mkoani Manyara, imerejesha kiwanja cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Bwagamoyo kilichokuwa kimeporwa na Mwenyekiti wa kata hiyo, Charles Mbaluk. Akizungumza leo Jumatatu Desemba 14, Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Kiteto, Venance Sangau amemweleza Mkuu wa wilaya ya Kiteto,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *