img

TAKUKURU Kiteto yaokoa fedha za mstaafu

December 14, 2020

Na Mohamed Hamad, Kiteto Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa,(TAKUKURU) wilayani Kiteto Mkoani Manyara, imeokoa Sh milioni 6.6 mali ya, Bakari Lugage mstaafu alizokuwa ameporwa na moja ya taasisi ya fedha. Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Manyara, Holle Makungu amesema Taasisi nyingi zinafanya kazi bila sheria na kanuni zinazoongoza utendaji wao wa kazi hali,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *