img

Mbunge ageuka mbogo kwa wanaomhujumu Rais

December 14, 2020

Na Gustafu Haule, Pwani Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini mkoani Pwani, Michael Mwakamo (CCM) amewaijia juu baadhi ya watendaji na wataalamu wa Halmashauri hiyo wanaofanya makusudi ya kuhujumu miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano chini ya  Rais Dk. John Magufuli. Mwakamo amesema kwa sasa mtendaji atakayebainika kufanya hivyo atakula nae,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *