img

Mbunge abaini madudu zabuni za ujenzi Kibamba

December 14, 2020

Na Vincent Mpepo, OUT Mbunge wa Jimbo la Kibamba mkoani Dar Salaam, Issa Mtemvu(CCM) ameeelezea kusikitishwa kwake kufuatia utekelezaji mbovu wa zabuni na kadarasi za ujenzi wa miundombinu katika jimbo hilo na kuahidi kufuatilia kwa karibu ili kuwepo na thamani ya pesa inayowekezwa kwenye ujenzi wa miundombinu hiyo. Hayo yamebainika jana Desemba 13, katika ziara,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *