img

Dkt. Mwinyi amezungumza na Jumuiya ya Wafanyabiashara (ZNCC)

December 14, 2020

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa  akizungumza na ujumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara (ZNCC)ukiongozwa na Kaimu Mwenyekiti Nd.Ali S.Amour katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar[Picha na Ikulu] 14/12/2020.

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Wafanyabishara (ZNCC) wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 14/12/2020. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa  akizungumza na ujumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara (ZNCC)ukiongozwa na Kaimu Mwenyekiti Nd.Ali S.Amour (wa saba kushoto) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar[Picha na Ikulu] 14/12/2020.  
 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *