img

Daktari aeleza madhara ya joto

December 14, 2020

Na Aveline Kitomary, Dar es Salaam Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Tatizo Wanne ameeleza madhara ya joto kwa afya na hatua zinazotakiwa kuchukulia. Katika mahojiano maalum na MtanzaniaDigital jijini Dar es Salaam, Dk Wanne amesema madhara ya joto ni kutokwa na jasho jingi hali inayosababisha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *