img

Corona yaongeza matumizi ya TEHAMA mahakani

December 14, 2020

Na Amina Omari, Tanga Mlipuko wa ugonjwa wa corona nchini umeongeza kasi ya matumizi ya teknolojia katika ngazi ya mahakama na kurahisisha utoaji wa maamuzi katika mashauri mbalimbali ya kesi. Hayo yamebainishwa na Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Tanga, Amir Mruma wakati akigawa vitendea kazi ikiwamo kompyuta mpakato (laptop) kwa Mahakimu 53 wa mkoa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *