img

Bashungwa: Turudishe Umiseta vijana wapate ajira

December 14, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imeanza mazungumzo na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kuangalia uwezekano wa kuirejesha michuano ya Shule za Msingi nchini UMISHUMTA na ile ya Sekondari (UMISSETA) iliyokua chimbuko la vipaji vya michezo mbalimbali kabla haijafutwa. Hayo yamebainishwa jana Jumapili,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *