img

Prof. Mkenda apinga agizo la Mrajis kufuta vyama 32, ushirika ni hiari siyo lazima

December 13, 2020

Safina Sarwatt, Kilimanjaro WAZIRI wa Kilimo, Profesa Aldof Mkenda amepinga agizo la Mrajis Mkuu wa Vyama vya Ushirika nchini lakufuuta Muungano wa yama 32 vya msingi vya Ushirika ambavyo mwaka 2003 vilijiondoa rasmi kutoka Chama Kikuuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) na kwamba  ushirika ni hiari  na siyo lazima. Prof. Mkenda ameyasema hayo leo Desemba,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *