img

Mtaka awapiga ‘pini’ Madiwani Simiyu

December 13, 2020

Na Derick Milton, Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amewataka madiwani wa halmashauri zote katika mkoa huo, kutokuwa chanzo cha migogoro kwenye maeneo yao huku akipiga marufuku tabia ya kuazimia kuwafukuza wafanyakazi bila ya sababu za msingi. Amesema kuwa hatokuwa tayari kukubali madiwani wa halmashuari yeyote kukaa kikao na kuanza kumwazimia mtumishi yeyote,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *