img

Mhandisi Mahundi aupongeza uongozi wa MUWSA

December 13, 2020

Safina Sarwatt, Moshi Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi, ameupongeza Uongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Moshi Mjini (MUWSA), kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya maji taka. Pongezi hizo amezitoa leo Desemba 13, wakati wa ziara yake ya kwanza ya kikazi mkoani Kilimanjaro, tangu ateuliwe kushika wadhfa huo, alipotembelea eneo la mabwawa ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *