img

Waondoeni madarakani wanaong’ang’ania madaraka-Singo

December 12, 2020

Na Ramadhan Hassan, Dodoma Mkurugenzi wa Michezo nchini, Yusuphu Singo ameliagiza Baraza la Michezo nchini (BMT) kuwaondoa madarakani viongozi wa vyama vya michezo wanang’ang’ania madaraka bila kufuata Katiba. Akizungumza leo Desemba 12 mwaka huu katika mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Mkurugenzi huyo wa michezo amesema Serikali imeanza kutafsiri kwa vitendo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *