img

Wanafunzi wenye mahitaji maalum wakosa shule Njombe

December 12, 2020

Na Elizabeth Kilindi, Ludewa Wanafunzi wa shule ya maalum ya Mundindi iliyopo kata ya Mundindi Tarafa ya Liganga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wameshindwa kuendelea na masomo ya Sekondari kutokana na upungufu wa shule za wanafunzi wenye mahitaji maalum mkoani humo. Hayo yamebainishwa leo Jumamos Desemba 12, Mwalimu Mkuu wa shule hiyo,Amos Mtitu baada ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *