img

Wakufunzi wa vyuo watakiwa kuwa wabunifu

December 12, 2020

Na Ramadhan Hassan, Dodoma                    Walimu wa Vyuo Vikuu nchini wametakiwa kuwa wabunifu katika ufundishaji wao ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanawapa mbinu sahihi  wanafunzi kuweza  kujitegemea katika maisha yao. Hayo yalielezwa jana Jijini hapa na Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe wakati akizungumza katika kongamano la taaluma liloandaliwa na Chuo Kikuu cha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *