img

Wabunifu kukutana ‘Runwaybay’ Zanzibar

December 12, 2020

Na Jeremia Erenest, Dar es Salaam Wabunifu zaidi ya 10 wanatarajiwa kuonyesha mavazi katika tamasha la Runwaybay Fashion Week msimu wa kwanza lenye lengo la kuamsha Utalii wa wa Zanzibar. Tamasha hilo litafanayika kwa muda wa siku tatu mfululizo katika maeno tofauti ya wazi kisiwani humo kuanzia Desemba 19 mpaka 21, likiwa na kaulimbiu ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *