img

Tanzania, Pakistan zasaini mikataba ya makubaliano ya kidiplomasia

December 12, 2020

Na MwandishiWetu, Dar es Salaam Tanzania na Pakistan zimetiliana saini mikataba miwili ya makubaliano ambayo ni mkataba wa mashaurino ya kidiplomasia pamoja na mkataba wa kuanzisha tume ya pamoja ya ushirikiano wa kiuchumi. Mikataba hiyo imesainiwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *