img

Dk. Bashiru ateta na Balozi wa China kuimarisha nyanja mbalimbali

December 12, 2020

Na Ramadhan Hassan, DodomaKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Bashiru Ally amefanya mazungumzo na Balozi wa China nchini,Wang Ke kujadiliana namna ya kusaidiana katika sekta za uwekezaji, biashara, afya, elimu pamoja na eneo la Vyuo vya Ufundi. Akizungumza leo, Desemba 12 , Makao Makuu ya CCM Dodoma (White House), Dk.Bashiru amesema mazungumzo hayo yalijikita,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *