img

Bila uoga, Marioo amjibu kiutu uzima Harmonize

December 12, 2020

Msanii Marioo ameipinga kauli ya msanii na ‘boss’ la lebo ya Konde Gang Harmonize kwa kusema wimbo wake wa Ushamba ndiyo wimbo bora kati ya nyimbo zote zilizotoka mwezi Novemba.

Marioo amesema wakati Harmonize anatoa kauli hiyo wimbo wake ‘mama amina’ ulikuwa haujatoka ila ingetoka asingeweza kusema hivyo.

“Wimbo wangu umetoka mwezi wa 11 una wiki sasa, kipindi kile anasema hivyo wimbo wangu ulikuwa bado haujatoka kama ingetoka sidhani kama angeweza kuongea vile, dude langu hili ni ‘hit song’ na la moto kuliko magoma yote yaliyotoka sasa hivi” amesema Marioo

Zaidi tazama hapa chini akizungumzia hilo.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *