img

Watoto milioni 8 kupatiwa matone ya Vitamin A, dawa za minyoo

December 11, 2020

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Zaidi ya watoto milioni 8.5 wenye umri wa miezi sita mpaka miaka mitano wanatarajiwa kupatiwa matone ya Vitamin A na dawa za kutibu maambukizi ya minyoo ili kulinda afya na maendeleo yao. Utoaji wa huduma hizo ni utekelezaji wa kampeni ya kitaifa ijulikanayo kama ‘Mwezi wa Afya na Lishe,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *