img

Watoto 224,364 wakabiliwa na utapiamlo Kagera

December 11, 2020

Na Nyemo Malecela, Kagera WATOTO 224,364 sawa na asilimia 39.8 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Kagera wanakabiliwa na utapiamlo. Kufuatia kuwepo kwa idadi hiyo kubwa ya watoto wenye utapiamlo mkoani Kagera, Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawilo amesema Wataalam wa lishe mkoani Kagera wanatakiwa kuangalia upya na kutathimini ni wapi Mkoa huo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *