img

Tanzania yahimiza Mataifa makubwa kuendelea kuzifutia madeni nchi za OACPS

December 11, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania imeendelea kuhimiza umuhimu wa mataifa makubwa kuzifutia madeni nchi za Jumuiya ya nchi za Afrika, Caribbean na Pasifiki (OACPS) zilizoathiri na janga la COVID-19 pamoja na kuyataka mataifa hayo kuhakikisha kwamba chanjo ya COVID-19 itakayopatikana inazifikia nchi zote za Jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *