img

Nigeria: Washukiwa wa ufisadi wavyogeuka walemavu ghafla mahakamani

December 11, 2020

ABUJA, NIGERIA Taarifa kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa maofisa wa Serikali wanaokabiliwa na shutma za ufisadi wamekuwa wakibadilika ghafla na kuwa walemavu huku wengine wafariki pindi wanapofika mahakani. Inaelezwa kuwa wanasiasa au maafisa wa ngazi ya juu wamekuwa wakitoweka kutoka ndani ya mahakama, na wengine wamekuwa wakifika mahakamani wakiwa katika viti vya walemavu au vya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *