img

Ni Wiki Nyingine ya Soka Safi Barani Ulaya. Wazungu husema hii ni ‘Derby Weekend’.

December 11, 2020

Ndio, hapa Manchester Derby kule Madrid Derby! Ikiwa ni Wiki ya 11 kunako EPL. Michezo ya majirani ‘derby’ inaendelea kunogesha soka la Uingereza. Baada ya London Derby kwa wiki mbili mfululizo, tunahamia kwenye Manchester Derby wikiendi hii! Manchester United kuwakaribisha majirani zao Manchester City katika dimba la Old Trafford. Unaambiwa hakuna mchezo unaoibua hisia za,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *