img

Msikubali kurubuniwa na wasiotutakia mema-Majaliwa

December 11, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania hususani vijana wasikubali kurubuniwa na makundi ya watu wasio na mapenzi mema na nchi yetu ambao watataka kuwatumia kwa maslahi yao binafsi na hatimaye kuhatarisha usalama na amani ya nchi yao. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana Alhamisi, Desemba 10, wakati akifungua mkutano Mkuu wa Chama,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *