img

Makubaliano ya biashara kati ya EU na Uingereza bado kizungumkuti

December 11, 2020

BRUSSELS, UBELGIJI Kuna uwezekano mkubwa wa Uingereza kujiondowa kwenye Umoja wa Ulaya mwishoni mwa mwezi huu bila makubaliano ya kibiashara, kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, na Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya, Ursula von der Leyen. Viongozi hao wawili walikuwa wamewaongezea muda wawakilishi wao kwenye mazungumzo ya kusaka makubaliano hayo ya kibiashara,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *