img

Lawama zamuendea Kabila baada ya spika kuondolewa

December 11, 2020

Spika wa bunge la DRC Jeanine Mabunda ameondolewa katika nafasi yake baada ya wabunge kupiga kura ya maoni dhidi yake iliyowasilishwa bungeni na upinzani.

Miongini mwa wabunge 484 katika Bunge hilo kura 281 zilisema kwamba kiongozi huyo wa muhimili huyo aondoke katika nafasi yake

Mwanasiasa Justin Bitakwira ambaye zamani alikuwa chama cha Kabila, anatoa maoni yake juu ya kile kilichosababisha chama cha Rais wa Zamani chenye idadi kubwa ya wabunge Bungeni kushindwa kumuunga Mkono Spika Huyo wa Bunge.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *