img

Kumbilamoto Meya ilala

December 11, 2020

Na Tunu Nassoro, Dar es Salaam Madiwani wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam  wamemchagua diwani wa kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto kuwa Meya wa Manispaa hiyo. Pia wamemchagua diwani wa Ilala, Saad Kimji kuwa Naibu Meya. Kumbilamoto ameshinda nafasi hiyo kwa mara ya pili bila kupingwa  baada ya madiwani wote 54 kutoka kata,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *