img

ICC yaitaka Sudan kuruhusu wachunguzi kuwafikia mashahidi

December 11, 2020

 KHARTOUM, SUDAN Mwendesha mashtaka wa mahakama ya kimataifa ya kushughulikia kesi za jinai ICC ameitolea mwito serikali ya Sudan kutekeleza wajibu wake kivitendo katika suala la kutafuta haki kwenye jimbo la Darfur. Mwendesha mashtaka wa ICC, Fatou Bensouda ameitaka serikali ya Sudan kuonesha kwa vitendo uwajibikaji wake katika suala la haki kwa watu wa jimbo la Darfur,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *