img

Bunge la DRC lamfuta kazi Spika

December 11, 2020

KINSHASA, KONGO Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo(DRC) limepiga kura ya kumuondoa spika wa bunge hilo, Jeanine Mabunda, mshirika wa karibu wa rais mstaafu Joseph Kabila. Wabunge 484 walihudhuria kikao cha jana jioni kujadiliana iwapo wamuondoe Mabunda katika nafasi ya uspika, huku 281 wakipiga kura ya kumfuta kazi na wengine 200 walipinga uamuzi huo.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *