img

Bashungwa kuendeleza alipoishia Dk. Mwakyembe

December 11, 2020

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema kuwa mambo yote mazuri yaliyofanywa na mtangulizi wake Dk.Harrison Mwakyembe katika sekta anazozisimamia atayaendeleza ili matarajio ya kuundwa kwa kwa Wizara hiyo yafikiwe. Bashungwa ameyasema hayo leo Ijumaa Desemba 11, wakati akipokea Ofisi kutoka kwa Waziri mstaafu Dk. Harrison Mwakyembe ambapo ameeleza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *