img

Waziri wa Ulinzi wa Uturuki azungumzia mzozo na Ugiriki

December 10, 2020

Waziri wa Ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amesema,”Ni Ugiriki ambaye anataka kukuza mvutano katika Mediterania.”.

Hulusi Akar, katika maelezo kwa Bunge Kuu la Uturuki alisisitiza kuwa ni Ugiriki ambaye anataka kukuza mvutano katika Mediterania.

 “Kwa bahati mbaya, matakwa yetu ya suluhisho na amani ndani ya mfumo wa ujirani mwema yamepuuzwa kila wakati.”

“Tuko tayari kujadili shida zote katika Aegean na Mashariki mwa Mediterania bila masharti.”, aliongeza kiongozi huyo.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *