img

Wanafunzi 68 wapata ujauzito Maswa

December 10, 2020

Na Derick Milton, Maswa. Jumla ya wanafunzi 68 kutoka shule za msingi na Sekondari katika Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepata ujauzito katika kipindi cha Mwezi Januari hadi Novemba mwaka huu na kusababisa kukatisha ndoto zao. Taarifa ya jeshi la polisi Wilayani humo kutoka Dawati la jinsia, imeeleza kuwa kwa shule za msingi ni wanafunzi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *