img

Ufugaji wa Samaki katika Mabwawa, Vizimba kupunguza uvuvi haramu

December 10, 2020

Na Mbaraka Kambona, Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema ufugaji wa Samaki katika Mabwawa na Vizimba ukihamasishwa na kupewa msukumo mkubwa utasaidia kuongeza wingi wa samaki na utasaidia kupunguza uvuvi harama katika maji ya asili. Ndaki aliyasema hayo alipotembelea Shamba la Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *