img

Ufahamu ugonjwa wa Haemophilia

December 10, 2020

Na AVELINE KITOMARY, Dar es Salaam HAEMOPHILIA ni ugonjwa usioambukiza unaotokana na damu kushindwa kuganda kutokana na kutokuwepo kabisa au upungufu wa chembechembe za protin ambazo inasababisha damu igande. Mtu asipokuwa na hizo chembechembe akipata jeraha damu inatoka mda mrefu bila kukata hali hiyo huweza kusababisha kupoteza maisha. Kwa kawaida mtu anapopata jeraha mishipa ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *