img

TOC wamuomba Waziri Bashungwa kukutana nao

December 10, 2020

Na Ramadhan Hassan, Dodoma KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC) imemwomba Waziri mpya  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa kukutana nao ili wampe ushauri wanatakiwa kufanyaje ili kuendeleza michezo nchini. Jana Rais Magufuli wakati akiwaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino jijini Dodoma alimtaka Waziri Bashungwa na Naibu wake,Abdallah Ulega kuhakikisha wanaendeleza michezo nchini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *