img

Shule za Kemebos na Kaizilege zapokea tuzo ya mshindi wa pili kitaifa kidato cha sita

December 10, 2020

Na Nyemo Malecela, Kagera SHULE ya Kemebos na Kaizilege za mkoani Kagera zimepokea tuzo ya mshindi wa pili kitaifa mwaka 2020 katika mtihani wa kidato cha sita kutoka Wizara ya Tamisemi. Mbali na tuzo hiyo pia walimu sita wa masomo tofauti kutoka shule hizo walipewa tuzo za walimu bora kitaifa wakati wahitimu watatu nao wakipewa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *