img

Ni nani aliyechaguliwa kwa Tuzo za muziki za MTV Afrika 2020?

December 10, 2020

Dakika 6 zilizopita

Diamond platnumz

Maelezo ya picha,

Diamond platnumz

Orodha ya wanamuziki wenye vipaji waliochaguliwa kwa ajili ya kupota tuzo za muziki wa Afrika la MTV Africa Music Awards (MAMAs), imetangazwa huku majina maarufu na mapya yakijitokeza tena kwenye orodha hiyo.

Tukio la kutoa tuzo hizo za mwaka 2021 litafanyika mjini Kampala Uganda tarehe 21 Februari 2020 kwa njia ya mtandao kutokana na janga la virusi vya corona.

Tiwa Savage mwanamuziki wa Nigeria ameng'ara tena kwa tuzo zaidi ya moja
Maelezo ya picha,

Tiwa Savage mwanamuziki wa Nigeria ameng’ara tena kwa tuzo zaidi ya moja

Wanamuziki wa Afrika wenye vipaji waliochaguliwa ni pamoja na Burna Boy, Busiswa, Davido, Diamond Platnumz, Innoss’B, Kabza De Small, John Blaq, Master KG, Suspect 95, Sheebah, Soraia Ramos, Tiwa Savage, Yemi Alade and WizKid – ambao kila mmoja amechaguliwa kwa tuzo mbili.

Burna Boy

Maelezo ya picha,

katika ukurasa wake wa Twitter mwaka huu Burna Boy alisema yeye ndiye bora baada ya Fela Anikulapo Kuti

Kikundi cha muziki cha São Tomé and Príncipe -Calema waliongoza kwa kuteuliwa tuzo tatu za Msanii wa mwaka, Kikundi bora zaidi cha mwaka , na Kikundi bora kilichoigiza mtindo wa muziki wa Kireno wa Lusophone.

Wasanii waliochaguliwa kwa tuzo za MAMA 52 kutoka nchi 15 walitangazwa katika kipindi cha muziki cha MTV Base Jumatano jioni katika kipindi maalum cha dakika 45 ambacho kilitangazwa katika MTV Base.

Zuchu ni miongoni mwa wanamuziki waliopata tuzu kwa kupata mafanikio ya kimuziki

Maelezo ya picha,

Zuchu ni miongoni mwa wanamuziki waliopata tuzu kwa kupata mafanikio ya kimuziki

Ifuatayo ni orodha kamili ya wanamuziki walioteliwa kwa ajili ya Tuzo za MAMA 2021 Awards na makundi yao walivyoshinda:

Mwanamuziki bora wa kike:

Sho Madjozi (South Africa)

Soraia Ramos (Cape Verde)

Mwanamuziki bora wa kiume:

Innoss’B (Democratic Republic of Congo)

Kabza De Small (South Africa)

Kikundi bora cha muziki

Blaq Diamond (South Africa)

Kabza De Small / DJ Maphorisa (South Africa)

Calema (São Tomé and Príncipe)

Calema (São Tomé and Príncipe)

Diamond Platnumz (Tanzania)

Msanii aliyepata mafanikio :

Focalistic (South Africa)

Mwanamuziki bora wa Hip Hop

Suspect 95 (Cote d’Ivoire)

Wasanii bora wa muziki wa Uganda

Wasanii bora wa muziki wa Lusophone

Calema (São Tomé and Príncipe)

Nelson Freitas (Cape Verde)

Soraia Ramos (Cape Verde)

Wasanii bora wa muziki wa kifaransa

Innoss’B (Democratic Republic of Congo)

Suspect 95 (Cote d’Ivoire)

Dip Doundou Guiss (Senegal)

Fally Ipupa (Democratic Republic of Congo)

Gaz Mawete (Democratic Republic of Congo)

Wasanii bora wa muziki wakati wa Lockdown

Diamond Platnumz (Tanzania) – Africa Day Benefit Concert

Black Motion (South Africa) – Red Bull Rendezvous

Niniola ft Busiswa (Nigeria / SA) – Africa Day Benefit Concert

Singuila (Congo) – DCDR Series

AKA (South Africa) – AKA TV

Yemi Alade (Nigeria) – Poverty (live session)

Huwezi kusikiliza tena

Maelezo ya sauti,

Drake ataka tuzo za muziki za Grammys zifutiliwe mbali

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *