img

Godbless Lema apewa hifadhi Canada

December 10, 2020

OTTAWA, CANADA Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amepata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada. taarifa zinasema, Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake, George Luchiri Wajackoyah amethibitisha. Mwezi uliopita, Lema alikamwatwa na polisi nchini Kenya kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *